Waziri wa Kazi na Ajira, Mh. Gaudencia Kabaka akiwasili kwenye Ufunguzi wa Mkutano wa 38 wa Baraza kuu la wafanyakazi wa NSSF uliofanyika leo kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Forest Hill jijini Mbeya.Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya,Mh. Abbas Kandoro na Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Dk. Ramadhan Dau.
Waziri wa Kazi na Ajira, Mh. Gaudencia Kabaka akitoa hotuba yake wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa 38 wa Baraza kuu la wafanyakazi wa NSSF uliofanyika leo kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Forest Hill jijini Mbeya.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya,Mh. Abbas Kandoro (katikati),Mkuu wa Wilaya ya Mbeya,Mh. Evans Balama (kushoto) pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Bw. Aboubakar Rajab wakisikiliza kwa makini hotuba ya Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Gaudencia Kabaka (hayupo pichani) wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa 38 wa Baraza kuu la wafanyakazi wa NSSF uliofanyika leo kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Forest Hill jijini Mbeya.
Picha ya Pamoja baada ya Mkutano.
No comments:
Post a Comment