HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, April 18, 2012

WAREMBO MISS KIGAMBONI WAKUTANA NA MWANDAAJI WAO

Washiriki wa shindano la Miss Kigamboni wakiwa katika picha ya pamoja wakati walipokutana na waandaaji wa shindano hilo,ambao ni Bi. Angela Msangi na Bi. Somoe Ng'itu (hawapo pichani) kwa mazungumzo na kufahamiana, mazungumzo hayo yalifanyika kwenye mgahawa wa Hadees Posta jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad