
SABABU YA KIFO CHAKE ITAPATIKANA BAADAE BAADA YA UCHUNGUZI WA MADAKTARI.
MIPANGO YA MAZISHI TAYARI INAFANYWA JUMUIYA INAWATAKA WATANZANIA KUJITOKEZA KWA WINGI NA KUJITOLEA ZAIDI KATIKA MICHANGO ILI TUWEZE KUUSAFIRISHA MWILI WA MAREHEMU NYUMBANI.
MAREHEMU NI MWENYEJI WA TANGA BARABARA 15.NA HAPA ITALY ALIKUWA AKIISHI MJINI MODENA.
MATAWI YOTE YA JUMUIYA YA WATANZANIA ITALIA NA JUMUIYA ZOTE ZINAOMBWA KUKUTANA MARA MOJA ILI KUKUSANYA MICHANGO. KWA MAWASILIANO WASILIANA NA KATIBU N° +39 329 4149 712
TUNAUNGANA NA WATANZANIA WOTE WANAOMFAHAMU , NDUGU NA WAZAZI KATIKA WAKATI HUU MGUMU WA MAOMBOLEZO. MUNGU AMLAZE MAHALA PEMA! AMIN!
No comments:
Post a Comment