HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, January 6, 2012

Kuendesha Gari Jijini Dar sio Kazi ya Kitoto.....

 Hapa huyo mwenye hiyo Suzuki escudo aliona kama wale waliosimama mbele yake ni wazembe akaamua kutanua na kuja kufanya hivi,wakati aliona kabisa gari nyingine ikikatisha mbele.
 Hapa napo ni kuchanganyaka kwa kwenda mbele,maana wengine wanataka kwenya kulia na wako kushoto na wanaotaka kwenda kushoto wako kulia yaani ni tafrani tupu.
kwa ndugu zetu hapa ndio hata hatusemi maana tushawazoea,

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad