Wachezaji wa timu zote mbili wakipeana salamu kabla ya kuanza kwa mchezo wao kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo.
Mshambuliaji wa Simba, Felix Sunzu akichuana na beki wa Tusker ya Kenya, Brian Mandela.
Mshambuliaji wa Simba,Uhuru Seleman akichuana na kiungo wa timu ya Tusker ya Kenya, Joseph Mbugi wakati wa mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliofanyika leo Kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Timu hizo zimetoka sare ya 1-1.
Mchezaji wa Timu ya Simba akijaribu kuwatoka mabeki wa timu ya Tusker kwenye mchezo wa uliopigwa leo kwenye uwanja wa Jijini Dar es Salaam leo.Timu hizo zimetoka sare ya 1-1.
No comments:
Post a Comment