Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo ya aliyekuwa Mbunge wa Arumeru na Naibu Waziri wa Fedha, marehemu Jeremia Sumari, wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Mbezi Tanki Bovu jijini Dar es Salaam leo kwa ajili ya kutoa pole kufuatia kifo cha mbunge huyo kilichotokea usiku wa kuamkia leo Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa amelazwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete akiongea na ndugu wa marehemu pamoja na Spika wa Bunge, Anne Makinda na Mbunge wa Monduli,Mh Edward Lowassa ambaye ni mzazi wa binti aliyeolewa na mtoto wa marehemu Mh.Sumari.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete akizungumza na mke wa Marehemu Mbunge wa Arumeru na Naibu Waziri wa Fedha,Jeremia Sumari, Mama Miriam Sumari wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Mbezi Tanki Bovu jijini Dar es Salaam leo kwa ajili ya kutoa pole kufuatia kifo cha mbunge huyo kilichotokea usiku wa kuamkia leo kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa amelazwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete akisalimiana na mke wa aliyekuwa Mbunge wa Arumeru na Naibu Waziri wa Fedha, marehemu Jeremia Sumari, Mama Miriam Sumari wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Mbezi Tanki Bovu jijini Dar es Salaam leo kwa ajili ya kutoa pole kufuatia kifo cha mbunge huyo kilichotokea usiku wa kuamkia leo kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa amelazwa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka saini katika kitabu cha maombolezo ya aliyekuwa Mbunge wa Arumeru na Naibu Waziri wa Fedha, marehemu Jeremia Sumari, wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Mbezi Tanki Bovu jijini Dar es Salaam leo kwa ajili ya kutoa pole kufuatia kifo cha mbunge huyo kilichotokea usiku wa kuamkia leo Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa amelazwa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na mke wa aliyekuwa Mbunge wa Arumeru na Naibu Waziri wa Fedha, marehemu Jeremia Sumari, Mama Miriam Sumari, wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Tang Bovu jijini Dar es Salaam leo kwa ajili ya kutoa pole kufuatia kifo cha mbunge huyo kilichotokea usiku wa kuamkia leo Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa amelazwa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na mke wa aliyekuwa Mbunge wa Arumeru na Naibu Waziri wa Fedha, marehemu Jeremia Sumari, Mama Miriam Sumari, wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Mbezi Tanki Bovu jijini Dar es Salaam leo kwa ajili ya kutoa pole kufuatia kifo cha mbunge huyo kilichotokea usiku wa kuamkia leo Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa amelazwa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na watoto wa Marehemu Jeremia Sumari, wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Mbezi Tanki Bovu jijini Dar es Salaam leo kwa ajili ya kutoa pole kufuatia kifo cha mbunge huyo kilichotokea usiku wa kuamkia leo Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa amelazwa.Picha na IKULU.
No comments:
Post a Comment