Hii ni Barabara ya Buguruni kwa Mnyamani ambayo inaenda mpaka Vingunguti,pia kwa wakazi wa maeneo ya Tabata hii ni njia rahisi sana kwao.
Hadi Daladala pia zinapita njia hii.
Hapa ni Buguruni Mataa ambao leo umeme ulikuwa umekatika na hivi ndivyo mambo yalivyokuwa.
Bajaji za kumwaga eneo hili.
Kilichonikera ni namna ya usimamaji wa Daladala hili,yaani utafikiri ni lenyewe ndio linatumia barabara hiyo.
No comments:
Post a Comment