HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, January 18, 2012

mdau Rachel Sinbard asherehekea hepi besdei yake ya kuzaliwa

Keki zilizokuwepo wakati wa hafla ya hepi besdei ya siku ya kuzaliwa ya mdau Rachel Sinbard ambaye ni mwanachuo wa Chuo Kikuu cha Dodoma (U-DOM) wakati hafla fupi iliyofanyika jana Chuoni hapo.
Mdau Rachel Akikata Keki tayari kwa kuwalisha Wageni wake waliofika kumpongeza katika hafla hiyo fupi ya hepi besdei ya kuzaliwa kwake iliyofanyika Chuoni hapo jana.
Rachel Akimlisha keki Mmoja wa Marafiki zake aitwae Caritas Majani wakati wa hafla yake hiyo ya hepi besdei ya kuzaliwa kwake.
Mdau Rachel Sinbard akimlisha keki Mwanalibeneke Josephat Lukaza Katika Hafla Ya hepi besdei ya Kuzaliwa Kwake iliyofanyika Chuoni hapo jana na kuhudhuriwa na Wageni na marafiki zake mbali mbali.

1 comment:

  1. Wee mshikaji unaelishwa keki mbona unakikwapa sana hata huoni aibu kijana unavuja jasho kiasi hicho kwenye birthday yako mwenyewe hio aibu mshikaji unaonekana hata deodorant mwenzetu huijui , Wake Up kijana wa kisasa ni mvuto .

    ReplyDelete

Post Bottom Ad