HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, January 9, 2012

GEPF yatoa msaada wa Mil. 5 kwa waathirika wa mafuriko jijini Dar

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Mecky Sadick akipokea msaada wa hundi ya shilingi milioni 5 kutoka kwa Mkurugenzi wa Masoko na Uendeshaji wa Mfuko wa Akiba ya Wafanyakazi Serikalini (GEPF), Anselim Peter kwa ajili ya waathirika wa mafuriko yaliyotokea jijini Dar es Salaam hivi karibuni. (Picha na Francis Dande).

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad