Mkuu wa Wilaya ya Misungwi Bi. Mariam Lugaila (katikati) akimkabidhi baiskeli Mganga mfawidhi wa Kituo cha Afya Mwagiligi kilichopo wilayani humo mara baada ya kukabithiwa baskeili hizo na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel katika kuadhimisha sikukuu ya mapinduzi msaada ambao utarahishisha shughuli mbalimbali za kiofisi katika vituo vya afya wilaya hapo, Kushoto ni Meneja Biashara wa Kanda ya Ziwa Kampuni ya Airtel bw. Ally Maswanya akishuhudia makabidhiano hayo.
( Kulia) Mkuu wa Wilaya ya Misungwi Bi. Mariam Lugaila akifatiwa na Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Tekinolojia ambaye ni Mbunge wa Misungwi Mh.Charles kitwanga na Meneja Biashara wa Kanda ya Ziwa Kampuni ya Airtel bw. Ally Maswanya mara baada ya kukabithiwa na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Baskeli kwa ajili ya vituo vya afya vya wilaya ya Misungwi. Wakishuhudia ni baadhi ya watumishi wa hospitali ya mitindo wakishuhudia tukio hilo.
No comments:
Post a Comment