Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Bi. Joyce Mapunjo wakipatiwa maelezo kuhusiana na vipimo vya uzito, ujazo na urefu vilivyotumika kabla na baada ya Uhuru toka kwa Mtaalam wa Vipimo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Bi. Joyce Mapunoa akinyanyua beam balance iliyotumika kabla na mara baada ya uhuru.
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akipatiwa maelezo na Afisa Vipimo Mkuu Bi. Zainabu Kafungo jinsi mzani aina ya Stealyard unavyochezewa kiurahisi na kuwaibia wananchi hususani wakulima wa pamba.
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Bi. Joyce Mapunjo akioneshwa mojawapo ya aina za mizani zisizochezewa kiurahisi.
No comments:
Post a Comment