Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Magari ya Scania Nchini,Mark Cameron (katikati) akifungua mlango wa basi jipya la Kampuni hiyo lililopewa jina la Dar Coach wakati wa uzinduzi wa basi hilo uliofanyika leo kwenye stendi kuu ya mabasi yaendayo mikoani Ubungo,Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Magari ya Scania Nchini,Mark Cameron akizungumza kwenye hafla fupi ya uzinduzi wa basi jipya la abiria ambalo limetengenezwa maalum kwa ajili ya waTanzania,leo kwenye stendi kuu ya mabasi yaendayo mikoani Ubungo,jijini Dar.
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Scania Tanzania,Godwin Rwegasira akizungumza katika hafla hiyo.
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Magari ya Scania Nchini,Mark Cameron akionyesha namna ya kuliendesha basi hilo kwenye uzinduzi wa basi hilo uliofanyika leo kwenye stendi kuu ya mabasi yaendayo mikoani jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Scania Tanzania,Mark Cameron (kulia) akimabidhi funguo ya basi hilo kwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mabasi ya Dar Express,Yudika Mremi ambaye alitangaza kulinunua basi hilo na mengine manne leo hii.
Baadhi ya Wadau waliofika kuliangalia basi hilo wakijadiliana mambo mbalimbali juu ya basi hilo.
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mabasi ya Dar Express,Yudika Mremi akilijaribu basi hilo.
Sehemu ya ndani ya basi hilo.
Nje kwa mbele.
Nje kwa Nyuma.
No comments:
Post a Comment