Kaka habari ya kazi na pole na majukumu nimepotelewa na mwanangu jana saa 5 asubuhi nyumbani kwangu kinondoni mahakamani kwa hiyo naomba msaada wako kutangaza katika blog yako
.
natanguliza shukrani
jina kamili . HAILA RASHID
umri . miaka 5
mara ya mwisho alivaa gauni la pink dark
yoyote atae muona atoe taarifa kituo chochote cha polisi tuwasiliane .
0713 311616 , 0652279122 au 0754 311616
mail ramabady@yahoo.com
No comments:
Post a Comment