HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, December 6, 2011

airtel yatuzwa cheti cha heshima na kombe kwa ulipaji kodi mzuri

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya simu ya mikononi ya Airtel, Bw. Sam Elangallor akipokea tuzo na cheti cha heshima kwa kushika nafasi ya mlipa kodi kwa ridhaa kati ya taasisi 10 zilizochaguliwa. Tuzo hiyo imetolewa leo kwenye hotel ya Serena jijini Dar wakati wa hafla fupi ya maadhimisho ya miaka 5 ya siku ya mlipa kodi kwa taasisi mbalimbali zisizo za kiserikali.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad