HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, December 6, 2011

Hivi Usafiri huu umeruhusiwa Kutumika kubebea Taka Mitaani??

Ukikatitiza Mitaa mingi ya Jijini Dar,ni lazima ukutane na Usafiri huu wa Mkokoteni (Injini Mtu) ukijishughulisha na ubebaji wa taka ngumu mitaani huku muendeshaji wake akiwa hana vifaa vyovyote vya kumkina kwa afya yake (angalia kwa makini anachokifanya hapa na utanielewa).sasa swali langu ni kwamba huu usafiri unaruhusuwa kufanya shughuli hii?

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad