HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, November 26, 2011

Wanariadha walioshiriki katika mbio za Bendera ya Taifa za Kili Jivunie Utanzania wawasili mjini Moshi,tayari kwa kupanda mlima kilimanjaro

Wanaiadha walioshiriki katika mbio za Bendera ya Taifa za Kili huku wakibeba bendera nne zenye rangi ya bendera ya Taifa wakiwa wamekutana Moshi Mjini baada ya kukimbiza bendera hizo kutoka mikoa minne ikiwa ni sehemu ya Kampeni ya Kili Jivunie uTanzania inayoendeshwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager kusherehekea miaka 50 ya Uhuru.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad