HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, November 24, 2011

MKURUGENZI WA VODACOM TANZANIA AONGEA NA JUKWAA LA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI TANZANIA

 Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bw.Rene Meza  akiongea na wajumbe wa  Jukwaa la wahariri wa vyombo vya habari wakati mkurugenzi huyo alipokwenda kujitambulisha ,kushoto Mwenyekiti wa Jukwaa la wahariri  Absalom  Kibanda,na katikati ni Ofisa Mkuu wa Masoko na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba. 
Mwenyekiti wa Jukwaa la wahariri  Absalom  Kibanda akimtambulisha Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bw.Rene Meza kushoto, kwa wahariri wakuu wa vyombo vya habari nchini Tanzania,wakati mkurugenzi huyo alipokwenda kujitambulisha kwenye mkutano wa Jukwaa la wahariri jijini Dares Salaam jana,katikati ni Ofisa Mkuu wa Masoko na Uhusiano Mwamvita Makamba.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza kulia akisalimiana na mjumbe wa jukwaa la wahariri  Masoud Sanani wakati mkurugenzi huyo  alipokwenda kujitambulisha kwenye mkutano wa jukwaa la wahariri  jijini Dares Salaam leo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza kulia akiwaangalia Ofisa Mkuu wa Masoko na Uhusiano Tanzania Mwamvita Makamba katikati akisalimiana  na mjumbe wa jukwaa la wahariri  Masoud Sanani wakati mkurugenzi huyo  alipokwenda kujitambulisha kwenye mkutano wa jukwaa la wahariri  jijini Dares Salaam leo
Mkuu wa kitengo cha Mahusiano wa Vodacom Tanzania Nector Pendael,akiwaelekeza baadhi ya wahariri wa vyombo vya habari namna ya kutumia Webbox inayounganishwa kwenye Luninga na kutoa  huduma ya mtandao wakati mkurugenzi  mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza alipokwenda kujitambulisha kwenye mkutano wa jukwaa la wahariri  jijini Dares Salaam leo.

Baadhi yawajumbe wa jukwaa la  wahariri wa habari wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza hayupo pichani alipokuwa akiongea nao wakati wa kujitambulisha kwa jukwaa hilo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad