HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, November 23, 2011

kamera ya Mtaa kwa Mtaa ndani ya Mji wa Moshi leo



7 comments:

  1. sijaenda moshi muda mrefu umenikumbusha mbali sana..

    ReplyDelete
  2. asante sana kutonyesha mi wa moshi lakini hatuoni majina ya mitaa sie wengine tumeshasahau kutokaka na mabadiliko makubwa ya vikangua anga lakini inapendeza siku nyingine nenda mpaka maeneo ya pasua, mabogini, rau, majengo, na mgagamfuni

    ReplyDelete
  3. Kilichonifurahisha ni usafi kila kona. Du sijui Dar tunajifunza nini hapa.

    ReplyDelete
  4. Hakika mandhari inavutia sio kama 1971 wakati ninasoma pale Old Moshi Sekondari lakini nyakati za masika panaonekana vipi? Tuonyeshe!

    ReplyDelete
  5. NAWASIFU MOSHI KWA MIPANGO MIJI MIZURI NA USAFI. SWALI LANGU NI JE LINI MOSHI ITAPEWA HADHI YA KUWA JIJI? NIONAVYO MIMI WANAKIDHI HAJA YA KUWA JIJI HEBU VIONGOZI WA MANISPAA MOSHI FUATILIENI HILO

    ReplyDelete
  6. KWA KWELI NAJIVUNIA KUWA MCHAGA. HONGERA MOSHI KWETU KWA USAFI, INANIKUMBUSHA ULE USAFI WA VICHUMI SAA 12 ASUBUHI KABLA HUJAENDA SALA WALA SHULE.

    ReplyDelete
  7. mbuta tembeza kamera yako maeneo ya njoro, pasua, msaranga na kwa jomba uje utuambie

    ReplyDelete

Post Bottom Ad