asante sana kutonyesha mi wa moshi lakini hatuoni majina ya mitaa sie wengine tumeshasahau kutokaka na mabadiliko makubwa ya vikangua anga lakini inapendeza siku nyingine nenda mpaka maeneo ya pasua, mabogini, rau, majengo, na mgagamfuni
NAWASIFU MOSHI KWA MIPANGO MIJI MIZURI NA USAFI. SWALI LANGU NI JE LINI MOSHI ITAPEWA HADHI YA KUWA JIJI? NIONAVYO MIMI WANAKIDHI HAJA YA KUWA JIJI HEBU VIONGOZI WA MANISPAA MOSHI FUATILIENI HILO
sijaenda moshi muda mrefu umenikumbusha mbali sana..
ReplyDeleteasante sana kutonyesha mi wa moshi lakini hatuoni majina ya mitaa sie wengine tumeshasahau kutokaka na mabadiliko makubwa ya vikangua anga lakini inapendeza siku nyingine nenda mpaka maeneo ya pasua, mabogini, rau, majengo, na mgagamfuni
ReplyDeleteKilichonifurahisha ni usafi kila kona. Du sijui Dar tunajifunza nini hapa.
ReplyDeleteHakika mandhari inavutia sio kama 1971 wakati ninasoma pale Old Moshi Sekondari lakini nyakati za masika panaonekana vipi? Tuonyeshe!
ReplyDeleteNAWASIFU MOSHI KWA MIPANGO MIJI MIZURI NA USAFI. SWALI LANGU NI JE LINI MOSHI ITAPEWA HADHI YA KUWA JIJI? NIONAVYO MIMI WANAKIDHI HAJA YA KUWA JIJI HEBU VIONGOZI WA MANISPAA MOSHI FUATILIENI HILO
ReplyDeleteKWA KWELI NAJIVUNIA KUWA MCHAGA. HONGERA MOSHI KWETU KWA USAFI, INANIKUMBUSHA ULE USAFI WA VICHUMI SAA 12 ASUBUHI KABLA HUJAENDA SALA WALA SHULE.
ReplyDeletembuta tembeza kamera yako maeneo ya njoro, pasua, msaranga na kwa jomba uje utuambie
ReplyDelete