HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, October 5, 2011

Airtel na Engine ilivyodhamini wiki hii ya Nenda kwa Usalama iliyoadhimishwa kitaifa mkoani Kagera

Meneja wa kanda ya ziwa  wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Ally Maswanya akipokea cheti  maalum kwa airtel ushiriki na shukrani toka kwa kamati na jeshi la usalama barabarani kwa Airtel kuwa mdhamini mkuu wa kampeni ya usalama barabara  kutoka kwa mgeni Rasmi Mh Jaji mkuu Mohamed Chande katika halfa ya ufunguzi  wa wiki ya usalama barabarani  iliyofanyika  kitafia katika mkoa wa Kagera wiki hii, wakwanza kulia pichani ni Mwenyekiti wa  Baraza la usalama barabarani na Naibu Waziri wa mambo ya ndani Mh Hashim Kagesheki
 Mwenyekiti wa  Baraza la usalama barabarani na Naibu Waziri wa mambo ya ndani Mh Hashim Kagesheki akimshukuru Meneja wa kanda ya ziwa  wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Ally Maswanya kwa  kuwa mdhamini mkuu wa kampeni ya usalama barabara kwa mwaka huu 2011, haya yalifanyika katika halfa ya ufunguzi  wa wiki ya usalama barabarani iliyofanyika katika mkoa wa kagera wiki hii na kuudhuriwa na mgeni Rasmi Mh Jaji mkuu Mohamed Chande (kati) pamoja na Mkuu wa mkoa wa Kagera Kanali mstaafu Fabiani masawe (wakwanza kushoto). wadhani wakuu wa mwaka huu ni kampuni ya simu za mkononi ya Airtel na kampuni ya mafuta ENGEN Tanzania
 Bendi ya kakao ya mkoani kagera ikitumbuiza  katika siku ya ufunguzi wa wiki ya usalama barabara iliyofanyika  kitafia katika mkoa wa kagera jumatatu 3/10/2011 iliyodhaminiwa mwaka huu na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel na ENGEN Tanzania.
Maandamando ya pikipiki yaliyofanyika katika siku ya ufunguzi wa wiki ya usalama barabara iliyofanyika  kitafia katika mkoa wa kagera jumatatu 3/10/2011 iliyodhaminiwa mwaka huu na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel na ENGEN Tanzania

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad