Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa salamu zake za mwezi mtukufu wa Ramadhan kwa baadhi ya watoto yatima aliowaalika ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni.
Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akimhudumia mmoja ya watoto yatima aliowaalika katika futari ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni.Rais Kikwete jana jioni alifuturu na baadhi ya watoto yatima wanaolelewa katika vituo mbalimbali jijini Dar es Salaam.
Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa zawadi kwa baadhi ya watoto yatima alofuturu nao jana jioni ikulu jijini Dar es Salaam.(picha na Freddy Maro)

No comments:
Post a Comment