HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, August 6, 2011

UJENZI WA SOKO KUU LA MWANJELWA JIJINI MBEYA WAANZA KUSUASUA

HUU NDIO UBUNIFU WA DARAJA LA JUU KWA WATEMBEA KWA MIGUU WA JIJI LA MBEYA ENEO LA MWANJELWA MIAKA MIWILI IJAYO KAMA ULIVYOBUNIWA NA TAASISI YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBEYA

SWALI NI JE ITAWEZEKANA? IKIWA SOKO TUU LINASUA SUA NA LIPO BARABARANI ENEO WANALO TAKA KUWEKA KIVUKO HICHO


Pichani ni baadhi ya taswira mbali mbali zinazo onesha jinsi ujenzi wa soko kuu la Mwanjelwa ulivyo simama, ulianza kwa kasi lakini kwa sasa hakuna kinacho endelea na miezi kadhaa iliyo pita jengo hilo lilibomoka wakati wanaendelea na ujenzi. Tutaendelea kuwafahamisha zaidi juu ya swala hili.Picha zote kwa hisani ya Mbeya yetu Blog.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad