HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, August 5, 2011

Hafla ya Ftari kwa Warembo wa Kanda Tatu za Jijini Dar na Waandishi wa Habadi jijini Dar leo

Meneja wa kinywaji cha Redd's,Victoria Kimaro akizungumza na waandishi wa habari jioni ya leo jijini la Dar wakati wa hafla fupi ya ftari iliyoandaliwa kwa ajili ya warembo wa kanda tatu za jijini Dar (Ilala,Temeke na Kinondoni) pamoja na waandishi wa habari iliyofanyika kwenye hoteli ya City Garden iliyopo katikati ya jiji la Dar.
Baadhi ya Warembo walioshiriki Mashindano ya Urembo ya Kanda tatu za Jijini Dar (Kinondoni,Ilala na Temeke) wakijisevia ftari jioni ya leo wakati wa hafla fupi iliyoandaniwa kwa ajili ya warembo hao pamoja na waandishi wa habari iliyofanyika kwenye hoteli ya city garden,jijini Dar.
 Muandaaji wa Mashindano ya Urembo,Kanda ya Ilala,Jackson Kalikumtima akijisevia uji wakati wa hafla ya ftari iliyofanyika jioni ya leo kwenye hoteli ya city garden,jijini Dar.
Story za hapa na pale wakati wa kupata ftari ulipowadia.
Mzee mzima nikipata futuru
Da' Asha akipata ftari,tena hana hata story na mtu.
Da' Somoe nae alikuwepo pia katika hafla hiyo.
Wadau katika hafl hiyo.
Da' Dina Ismail akipata ftari.
Warembo wakipata uji.
Picha ya Pamoja na warembo wa Kanda tatu za jijini Dar.

1 comment:

  1. Mzee mzima ukipata fturu kama mfungaji kweli vile
    Dnda

    ReplyDelete

Post Bottom Ad