Sehemu ya Kip left ya Lindi kama inavyoonekana leo huku kwa mbele kule ni jengo la Benki ya CRRD.
Mtaa mkubwa unaoingia katikati ya mji wa Lindi.
Moja ya Nyumba zilizopo pembezoni mwa Fukwe ya Bahari ya Hindi kama ionekanavyo.
Mtaa wa Ghana,Lindi mjini.
Lindi ni mji mkongwe na hata majengo yake mengi ni yale ya enzi za mkoloni.
Mtaani
Ofisi za TTCL mkoni Lindi.
Ofisi za Posta Mkoani Lindi.
Kutokana na hali ya kutokuwepo kwa Umeme wa Tanesko katika kijiji cha Kilangala,Mkoani Lindi.Kinyozi huyu ambaye anaonekana anaipenda kazi yake ameamua kuiendeleza kazi yake hiyo kwa kutumia Umeme wa Sola kama mashine zake zinavyoonekana hapo juu.
No comments:
Post a Comment