Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Tanzania (OUT), Profesa Tolly Mbwette akimuonesha Meneja Miradi Maalum wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Emma Oriyo (kushoto) eneo la Makao Makuu ya OUT lililotengwa kwa ajili ya viwanja mbalimbali vya michezo, katika Kijiji cha Bungo, Wilayani Kibaha, Pwani. TBL ilialikwa na uongozi wa OUT kuishukuru kwa kuwapatia msaada wa mabomba ya maji yenye thamani ya sh. milioni 40.Kulia ni Ofisa Uhusiano wa TBL, Doris Malulu.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Tanzania (OUT), Profesa Tolly Mbwette (kulia) akimuonesha Meneja Miradi Maalum wa TBL, Emma Oriyo, Jengo la kuhifadhia vifaa na nyaraka mbalimbali za chuo hicho lililopo Makao Makuu hayo mapya.
No comments:
Post a Comment