HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, June 7, 2011

GRAND MALT YASHEREHEKEA NA WANAFUNZI WA U-DOM

Msanii chipukizi kutoka Chuo Kikuu cha UDOM, Barbra Kalugira akiwaongoza wanafunzi wenzake pamoja na Meneja wa Grand Malt,Consolata Adam (wanne kulia) na baadhi ya wadau wa kinywaji cha Grand Malt kucheza kwaito wakati wa hafla za tuzo za kinywaji hicho kwenye Uwanja wa CBE Dodoma mwishoni mwa wiki.
Wasanii wa kundi la TMK wanaume,Mh. Temba (shoto) na Chegge (kulia) wakiimba na kucheza wakati wa hafla ya tuzo kwa wanafunzi wa Vyuo vikuu lililofanyika kwenye Uwanja wa CBE mjini Dodoma mwishoni mwa wiki.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad