HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, June 3, 2011

Libeneke la Mtaa Kwa Mtaa na Mashimozz

Barabara ya Upanga kama unaelekea Diamond Jubilee holi nako mambo yamechanganya ile mbaya.
Huu ndio muonekano mpya wa Keep Left iliopo mtaa wa Likoma Kariakoo baada ya ile ya matairi makubwa kupitwa na wakati.
Kinondoni Manyanya.
Mashimo yaliopo barabara ya Kinondoni sasa yaanza kupigwa viraka kama kamera ya Mtaa kwa Mtaa ilovyonasa.
hili shimo hapa mtaa wa Libya linatakribani miezi mitano mpaka sita hivi sasa,lakini hakuna anaeshughulika nalo mpaka leo.sasa sijui ni kwamba hawalioni au ni makusudi tu??

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad