HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, June 9, 2011

BHOKE EGINA AONGEA NA WAANDISHI WA HABARI JIJINI DAR LEO

Mshiriki wa Big Brother Amplifild alietolewa hivi karibuni,Bhoke Egina akizungumza na waandishi wa habari mapema leo asubuhi katika hoteli ya Southen Sun jijini Dar.
Meneja Mahusiano wa Kampuni ya MultChoice Tanzania,Barbara Kambogi (kushoto) akitoa muongozo kwa wanahabari waliofika leo katika mkutano uliofanyika katika hoteli ya Southen Sun,jijini Dar wakati wa kuzungumza na aliekuwa mwakilishi wa Big Brother,Bhoke Egina (kati) alietolewa hivi karibuni mjengoni humo.kulia ni Meneja Masoko wa MultChoice Tanzania,Furaha Samalu.
Meneja Masoko wa MultChoice Tanzania,Furaha Samalu akitoa ufafanizi kwa waandishi wa habari juu ya mashindano yanayoendelea katika jumba la Big Brother huko nchini Afrika ya Kusini.
Mie nikiwa na Bhoke Egina,mwakilishi aliekuwa amebakia katika jumba la Big Brother ambaye kiukweli alituwakilisha vyema sana katika jumba hilo.
Waandishi wa Habari wakifuatilia kwa makini maelezo ya Bhoke alipokuwa akizungumza leo katika hoteli ya Southen Sun,jijini Dar.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad