Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda (kulia) akimkaribisha ofisini kwake Dodoma leo Balozi wa Zambia nchini Tanzania Mhe. Mavis Lengalenga Kayumba

Balozi Kayumba akisaini kitabu cha wageni
Balozi Kayumba akiwa kwenye mazungumzo ya kikazi yaliyolenga kuimarisha mahusiano ya nchi na mabunge ya nchi mbili hizi na mwnyeji wake
Balozi Kayumba akiagana na mwenyeji wake.Picha na Prosper Minja-Bunge

No comments:
Post a Comment