Mshindi wa MIAMI Sprite slum Durk Competition,Guy Dupuy kutona nchini Ufaransa akionyesha umahiri wake wa kuruka katika moja ya mashindano hayo.Guy Dupuy atakuwepo matika mchezo utakaochezwa siku ya jumapili katika viwanja vya Leaders Club,jijini Dar kati ya timu ya USA AND1 Vs DAR ALL STARS.


No comments:
Post a Comment