HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, June 10, 2011

Airtel yakabidhi Brand New Toyota Rav4 kwa muuza duka wa Musoma

Mshindi wa promosheni ya Jivunie SMS, Michael Swai wa Musoma mjini, mkoani Mara akifurahia mandhari ya ndani ya gari mara baada ya kukabidhiwa zawadi yake ya hilo na Airtel. Swai, ambaye ni muuza duka,amejishindia gari mpya aina yaToyota Rav 4 yenye thamani ya shilingi milioni 47 katika promosheni iliyofanyika mwishoni mwa mwaka jana. Makabidhiano hayo yalifanyika jana katika viwanja vya Mukendo mjini Musoma.
Meneja Mauzo wa Airtel Kanda ya Ziwa, Galus Mgawe (kushoto) akimpatia maelezo ya kina ya nyaraka za umiliki wa gari mshindi wa promosheni ya Jivunie SMS, Michael Swai wa Musoma mjini, mkoani Mara na kushuhudiwa na ndugu wa mshindi, Albert Kimario na Gotfred Kisenga. Swai, ambaye ni muuza duka,amejishindia gari mpya aina yaToyota Rav 4 yenye thamani ya shilingi milioni 47 katika promosheni iliyofanyika mwishoni mwa mwaka jana. Makabidhiano hayo yalifanyika jana katika viwanja vya Mukendo mjini Musoma.
Mshindi wa promosheni ya Jivunie SMS, Michael Swai wa Musoma mjini, mkoani Mara akikumbatiwa kwa furanha na kupongezwa na jirani yake, Jane Alphonse, mara baada ya kukabidhiwa zawadi yake ya gari na Airtel. Swai, ambaye ni muuza duka,amejishindia gari mpya aina yaToyota Rav 4 yenye thamani ya shilingi milioni 47 katika promosheni iliyofanyika mwishoni mwa mwaka jana. Makabidhiano hayo yalifanyika jana katika viwanja vya Mukendo mjini Musoma.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad