
Mwenyekiti wa soko dogo la big braza,Urafiki jijini Dar.Bw. Iddi Bilal Toa toa akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na swala la kubomolewa kwa mabanda yao kinyime na sheria usiku wa kuamkia leo na watu wanaodaiwa kuwa ni wa Halmashauri ya jiji.

Mmoja wa Wajumbe wa Soko hilo,Bw. Gerald Mwilenga akionyesha baadhi ya vitabu vya ushuru walivyoletewa jana na watu wa Halmashauri ya Jiji kwa ajili ya kulipisha ushuru katika soko hilo,lakini cha ajabu ni kwamba wamefika leo katika eneo hilo na kukuta mabanda yoote yamepigwa chini.

Mmoja wa Wajumbe wa Soko hilo akiongea na wanahabari.





sehemu ya mabaki ya mabanda yaliyobomolewa katika soko hilo.
No comments:
Post a Comment