
TANZANIA MITINDO HOUSE INAPENDA KUWAARIFU WADAU KUWA TUMEANZISHA BLOG AMBAYO ITAKUWA INAHUSU MAMBO YA MITINDO, UBUNIFU WA MITINDO YA MAVAZI, MAONYESHO YA MAVAZI, KAZI ZA WABUNIFU NA WANAMITINDO WA HAPA NCHINI.
TUNAOMBA TUSHIRIKIANE KUKUZA SEKTA YA UBUNIFU WA MAVAZI NA MITINDO KWA UJUMLA HAPA KWETU
KARIBUNI WADAU –
tmhmitindo.blogspot.com
KWA MAWASILIANO – 0755 551077
No comments:
Post a Comment