HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, March 24, 2011

Kampuni ya Premier Betting kuuza tiketi za mechi ya stars na jamhuri ya kati

Mkuu wa Utawala wa Kampuni ya Premier Betting, Dhiresh Kaba (kushoto) akipokea tiketi 600 kutoka kwa Mkurugenzi wa Masoko na matukio wa TFF, Jimmy Kabwe. anayeshuhudia katikati ni meneja operesheni wa Premier Betting Javier Diaz Del Rio, kampuni hiyo inatumia vituo vyake vitatu vilivyopo Kariakoo, Manzese na Buguruni kuuza tiketi hizo za mchezo kati ya Taifa Stars na Jamhuri ya Kati.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad