
Akizungumza na blog hii, mratibu wa tamasha hilo lililopewa jina la 'Narudi Nyumbani Tanga, Bw. Nickson Amos alisema kuwa litafanyika katika ukumbi wa La Gland la Casa chica Ijumaa ya tarehe 4.03.2011.
"Kweli Roma atafanya tamasha lake binafsi ambalo anatarajia kusindikizwa na Belle 9, Young D pamoja na Dogo Janja hivyo wakazi wa Tanga waje kwa wingi kumuunga mkono.
Aliongeza kuwa lengo la tamasha hilo kuwashukuru wakazi wa Tanga kwa kuweza kumuunga mkono tokea ameanza kazi zake.
No comments:
Post a Comment