HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, January 6, 2011

Timu ya Ngumi ya Ashanti yakabidhiwa baadhi ya vifaa kwa kujiandaa na mashindano

Mdau wa Michezo mbalimbali hapa nchini,Innocent Melleck (kushoto) akimkabidhi vifaa vya huduma ya kwanza kwa kocha wa timu ya ngumi ya Ashanti, Rajabu Mhamila (Super 'D') leo.timu hiyo inajiandaa na mashindano ya mkoa wa Ilala yatakayoanza januari 8 mwaka huu, wanaoshuudia ni Mweka hazina wa timu hiyo Emanuel Mgaya,Juma Mwalimu na kulia ni Norbet Sikauke

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad