Salam Ankal
Urban Pulse Inawaletea video fupi kuhusu ziara ya Diamond nchini UK kwa ajili ya kuchangia vita dhidi ya Malaria.

Tarehe 03.11.2010 Timu nzima Ya Urban Puse ikiwa na Diamond walipata fursa ya Kutembelea Ubalozi wa Tanzania kwa ajili ya kumtambulisha Diamond na kutoa shukrani.
Urban Tour itaanza Rasmi jumamosi tarehe 6.11.10 Milton keynes Club Opus ikifuatana na Croydon London tarehe 12.11.10
Asante sana,
Urban Pulse Creative

No comments:
Post a Comment