HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, October 4, 2010

tigi pesa yapokelewa kwa shangwe dodoma

Ofisa Uhusiano wa Tigo, Jackson Mmbando akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma ya Tigo Pesa kwenye Uwanja wa Barafu mjini Dodoma mwishoni mwa wiki.kwanza aliwashukuru wananchi kwa kuudhuria uzinduzi pamoja na kuizikubali huduma za za Tigo na sasa ni kampuni imepata hadhi ya Superbrand "bidhaa bora ya kwanza kwa kampuni za mawasiliano
Wakazi wa Jiji la Dodoma wakwanza kushoto ni Paulo Veyole na anaefuata Mohamedi kimwaga wakijisajili na Tigo pesa kwa wakala wa Tigo pesa mjini Dodoma wa Duka la Savana Shop Wilkrifu Kimario ili kuweka pesa katika akaunti zao za Tigo Pesa wakati wa hafla ya uzinduzi wa huduma hiyo katika Uwanja wa Barafu mjini humo mwishoni mwa wiki.
Baadhi ya wakazi wa Dodoma waliofurika katika Viwanja vya Barafu mjini Dodoma wakiangalia kiduku cha dodoma wakati wa uzinduzi wa huduma ya Tigo Pesa live uwanjani hapo mwishoni mwa wiki

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad