Wanawake wakazi wa kihesa,manispaa ya Iringa wakiwa wamemkamata binti ambaye anadaiwa kuwa ni tapeli wa simu za viganjani (katikati) wakimpeleka kituo cha polisi kilichopo maeneo hayo.mwanamke huyo anadaiwa kutapeli simu tatu kwa watu tofauti kwa njia ya kuomba kuwasiliana na ndugu zake na matokeo yake kukimbia nazo kwenda kuuza.Picha na Mdau Francis Godwin.
Sunday, October 3, 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment