HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, October 17, 2010

send off ya Da' Salama Martin yafana sana

Da' Salama Martin akiwa katika pozi wakati send off yake iliyofanyika usiku wa jana katika ukumbi wa Police Officers' Mess,jijini Arusha.
Da' Salama na Matron wake wakiwa katika pozi nje ya bustani za Charity Hotel,Jijini Arusha.
watarajiwa wakiwa na wapambe wao hai tebo.
Da' Salama akiwa na timu yake iliyomsindikiza katika send off yake iliyofanyika usiku wa jana katika ukumbi wa Police Officers' Mess,jijini Arusha.
tabasamu la kupendeza
watarajiwa,Gisler Sakaya na Salama (Judica) Martin wakitabasamu kwa furaha
mambo ya msosi
Wazazi wa pande zote mbili wakiwa katika picha ya pamoja na Bi harusi mtarajiwa pamoja na matron wake.
Mzee mzima nikiuza nyago na Bi Harusi mtarajiwa,Salama Martin.
Da' Salama akionyesha utaalamu wake wa kukata ndafu
".... kula keki martoni wangu maana kazi ni nzito hii...." hivyo ndivyo alivyokuwa akionekana kuongea Da' Salama.
wakati wa keki ulipo wadia.
pongezi wa wazazi wa Da' Salama
Keki wa wazazi wa Bw. Harusi mtarajiwa,Gisler Sakaya.
picha ya wanandugu wa Bi. harusi mtarajiwa.
muziki mwanzo mwishoooo.....

1 comment:

  1. hizo poda mtu unakuwa kama una uso fake ni hatari black is beutiful

    ReplyDelete

Post Bottom Ad