Salam,
Urban Pulse Creative Inapenda Kuwaletea Promo Video ya Shoo kabambe Urban Tour Itakayo mshirikisha Msanii Diamond aka Mzee wa Mbagala na Mish The Fyah Sis Kutoka urban Pulse.Pia Urban Pulse ilikutana na celebrities mbalimbali wakiwepo ma Dj wakubwa hapa UK kutoka BBC Radio 1 Tim Westwood na Chris Goldfinger ambao watakuwepo katika tour hii mjini London Croydon kutoa support.
Show zitafanyika katika miji mitatu ya UK.
6th NOVEMBA
CLUB OPUS
Theatre Distric
Savoy Cresent
Milton Keynes MK9 5UP
12 NOVEMBA
THE CLUB
179 – 183 London Road
Croydon, London
CRO 2LR
27 NOVEMBA
PANAMA BAR
Gas ST
Birmingham
B1 2JT
Vilevile Urban Tour ikishirikiana na Tanzanian Community itakuwa inafanya Kampeni dhidi ya gonjwa la Malaria ambalo linaangamiza binaadamu wengi duniani
Wote mnakaribishwa kuja kuparty kwa Swaga za Kibongo na UK, badhi ya mapato yatakwenda kuchangia kwenye upambanaji wa Malaria
WOTE MAKARIBISHWA
Frank Eyembe
URBAN PULSE CREATIVE MEDIA
No comments:
Post a Comment