HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, October 29, 2010

msela mzigoni

msela huyu yupo pale kinondoni,Morocco nje ya jengo la zain.anachoma vitumbua ni balaaa.

2 comments:

  1. HakiyaMungu...viumbua ninavyo vienda, mpaka udenda unanitoka. Mwambie nikija lazia nitamtembelea asihame.

    ReplyDelete
  2. Kwa nini unasema ni "balaa?" Yuko anajitafutia riziki tena kwa njia ya halali na anatakiwa kuungwa mkono na kutiwa moyo.

    Hongera kijana kwa kuonyesha moyo wa kijasiriamali. Huo ni mwanzo tu na usikate tamaa. Huwezi jua Mungu Amekuandalia nini huko mbele.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad