
mkali wa mayenu ist afrika mashariki na kati,Dj Mackay akiwa katika libeneke lake usiku wa kuamkia leo pale Zhoghua.hii ni usiku wa club E.

hapa Dj Mackay (shoto) akiwa na Dj Osca (kati) na Msela Bonny.

Dj Mackay akipongezwa na mmoja wa wapenzi mayenu mara baada ya kukunwa na moja pili alizokuwa akiziangusha Dj Mackay katika usiku wa Club E pale Zhoghua Garden usiku wa kuamkia leo.

Dj Mackay akiwapagawisha mashabiki wake.
Tuandae mpambano na DJ malice wa kiss fm mwanza tuonenani mkali istafrica
ReplyDelete