HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, October 4, 2010

hivi ndivyo ilivyokuwa jioni ya leo katika barabara ya shekilango jijini dar

msururu wa magari ukiwa umekaa katika laini mbili za barabara ya shekilango mara baada ya foleni kubwa iliyozuka katika eneo hilo jioni hii.
huyu nae sijui gari yake ilifanya nini akaamua kusimama na kushuka hadi alipofika mzee wa feva na kumuamuru jamaa huyu kuondoa gari hilo.
hapa napo mambo yalikuwa kama hivi.
kitu kikiwa kimekolea kweli kweli,hakuna wa kwenda mbele wala kurudi nyuma ilimradi ni tafrani tu.hii ndio bongo zaidi ya uijuvyo

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad