HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, October 4, 2010

bonanza la wafanyakazi wa TBL

Baadhi ya Mameneja wa kampuni ya Bia Tanzania,toka kulia ni Flavian Ngole,Zozimick Kimati na Reginald Mosha wakibadilishana mawazo wakati wa Bonanza la wafanyakazi wa TBL lililofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Lidaz Klabu.
vijana wa kazi wakipata mawaidha wakati wa mapumziko ya mtanange uliopigwa katika Bonanza hilo katika viwanja vya Lidaz Klabu,mwishoni mwa wiki iliyopita.
sasa ni zamu ya kuweka sawa koo kwa kupata vinywaji murua kabisa kutoka kampuni ya Bia Tanzania (TBL) katika Bonanza lililofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Lidaz Klabu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad