Watalii wakipita nje ya iliyokuwa hotel ya kimataifa "Embassy Hotel" kwa sasa ni hotel ya mapanya.sijui serikali inampango gani na hii hotel??
Hii ndiyo iliyokuwa hotel ya kimataifa Embassy Hotel iliyopo katikati ya jiji la Dares Salaam kwasasa ni hotel ya mapanya (picha na Matina Nkurlu)
Tumia muda huu wa kuumuuliza JK utakuwa mtu kwenye headline nzuri ya kuuliza swali hili katika ughaguzi huu.
ReplyDelete