HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, October 12, 2010

dawasco mnaona hii???

 hili bomba limepasuka mara baada ya greda lililokuwa linachonga njia ya mtaa huu kupita hapa na kulikata,hivyo watu wa Dawasco fanyeni hima mje mlifanyie marekebishi kwani kuna watu wanakosa maji sasa.huu mtaa jina lake limenitoka kidogo ila ni maeneo ya msasani,msikitini jijini dar.
hapa huyu dada anaosha miguu kwa maji hayo,na wakati kuna wengine wanakosa hata ya kupikia.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad