HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, September 4, 2010

Warembo wakiwa katika ushiriki wa kutafutwa balozi wa redd's

Baadhi ya Warembo watakaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2010,ambao pia usiku wa kuamkia leo walikua katika kinyang'anyiro cha kumtafuta Balozi wa Redd's 2o1o katika fukwe za Mbalamwezi Beach Mikocheni jijini Dar,Wageni waalikwa mbalimbali walihudhulia tukio hilo.mshidi atatangazwa siku ya Mashindano ya Miss Tanzania tarehe 11/09/2010 na atakabidhiwa zawadi zake siku hiyo.

1 comment:

  1. Je kuwa mrembo na pia watu wakubali kuwa wewe ni mrembo mpaka uvae nguo fupi jamani?

    ReplyDelete

Post Bottom Ad