HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, September 4, 2010

Wageni Mbalimbali Walihudhulia tukio hilo

Meneja wa Kinywaji cha Redd's Primaim Cold, Kabula Nshimo akiwakalibisha wageni waalikwa kwenye shindano la kumsaka mrembo atakaeibuka na taji la Miss Redd's 2010 usiku wa kuamkia leo ndani ya Mbalamwezi Beach,Mikocheni jijini Dar.
Mwenyekiti wa Kamati ya Miss Tanzania,Pattel (kati) akiwa na wadau wengine wakifuatilia kwa makini mashindano hayo.
Madizaina wakifuatilia kwa makini tukio hilo
Wageni waalikwa mbalimbali wakishuhudia tukio hili usiku wa kuamkia leo.
kushoto pichani ni Meneja Mawasiliano wa TBL,Edith Mushi akiwa na wageni waalikwa wkifuatilia kwa makini shindano la kumsaka Miss Redds usiku huu
Wageni waalikwa mbalimbali ndani ya tukio la kumsaka mlimbwende atakaeibuka na taji la miss redd's usiku wa kuamkia leo katika fukwe za Mbalamwezi,Mikocheni jijini Dar.

1 comment:

  1. Dah!
    Mavazi mengine jamani, si jambo la kufumbia macho, tujaribu kuliangalia jambo hili kwa umakini sana, hivi huku tunakoelekea ni wapi na watoto wetu watarithi nini kutoka kwetu. Tusije kulaumiana mbele ya safari kwa kudai somo la maadili liingizwe katika mtaala maana imefikia hatua makanisa pia vipindi vya dini mashuleni kuonekana kana kwamba havitoshelezi. Napendekeza utaratibu unaotumika mashuleni utumike pia hadi makanisani( mchungaji awe anaingia na kiboko-fimbo kwa ajili ya kuwaadabisha wale wanaoonekana hawaelewi somo. Kuwe na daftari la mahudhurio. Watoro wote wawajibishwe. Kuwepo na mitihani kama kawa pia maswali ya chemshabongo kwa kila ibada na misa maana watu wanaenda makanisani kwa sababu ya mazoea na si kusikiliza neno nakulielewa.
    Tukifanya hivyo tutaokoa kizazi kijacho na pia baba,mama,kaka na dada zetu wa kizazi hiki watarudi kwenye mstari mnyooofu.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad