
wana CCM wa jimbo la kawe wakimsikiliza Mh. Dr. Jakaya Kikwete ukumbi wa Ubungo plaza
Mwana CCM akitoa hoja ukumbi wa Nakiete, Mbezi Beach, wakati Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM,Mh. Dr. Jakaya Kikwete alipokutana na wanachama wa jimbo la Kawe na kuwahutubia leo.
Mh. Dr. Jakaya Kikwete akihutubia uwanja wa wana CCM na wapenzi wa chama hicho katika viwanja vya Zakheem, Mbagala jijini dar leo
Kadi za chama cha CUF zikionyeshwa kwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM mara baada ya wenye nazo kiasi cha 80 hivi kuamua kurejea CCM.
Wanachama wapya wa CCM wakila kiapo baada ya kutoka CUF uwanja wa Zakheem, Mbagala leo.
Shamrashamra za kumkaribisha Mh. Jakaya Kikwete katika viwanja vya Zakheem,Mbagala alipokwenda kwa ajili ya kuinadi ilani ya chama cha mapinduzi (CCM) na kuwahutubia leo.
Umati wa wana CCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamefutika katika uwanja wa Zakheem Mbagala leo kwenye mkutano wa kampeni wa Mgombea Urais kwa tikweti ya CCM,Mh. Dr. Jakaya Kikwete.

wana CCM wengi walijitoteza katika viwanja vya Zakheem,Mbagala leo.
Dogo huu ni mtandao wa CCM? Unajua kwanini blog yako haikui? Acha kuonyesha udumavu wa akili kama unaweka habari za vyama weka vyama vyote sio CCM tu. Hivi hushtuki kwanini watu hawatembelei blog yako? Chamgamka we shauri yako
ReplyDelete